Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba, basi la Mash lenye namba
za usajili KCA 468D lililokuwa likitokea Nairobi kwenda Mombasa likiwa
na abiria 65, majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Mtito Andei
na abiria wote kushuka, kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na
safari.
Sio kila siku taarifa za majanga tu, unashangaa nini sasa? Hebu pasha kwa rafiki yako.
Tuesday, 17 March 2015
JUST FOR LAUGHS
By Unknown
Posted at 12:50
Entertainment